Vodacom-Logo.png

Lipa na M-Pesa

Tafadhali kurejesha mkopo wako, weka namba ya Tala 888111 kwenye M-Pesa. Tumia namba yako ya Vodacom kama namba ya kumbukumbu. Fuatilia maelezo kama yalivyo hapo chini:

1. Piga *150*00# kupata huduma za M-Pesa.

2. Chagua namba 4 - Lipa Bili.

3. Chagua namba 4 - Ingiza namba ya kampuni

4. Ingiza namba ya kampuni - 888111

5. Weka namba ya kumbukumbu - Ingiza namba yako ya Vodacom uliyotumia kusajili Tala.

6. Ingiza kiasi unachotaka kulipa

7. Ingiza namba yako ya siri ya M-pesa kuthibitisha muamala.

Utapokea SMS kuthibitisha kwamba tumepokea marejesho wako.


TigoPesa-logo.png

Lipa na Tigo Pesa

Tafadhali kurejesha mkopo wako, weka namba ya Tala 888000 kwenye Tigo Pesa. Tumia namba yako ya Tigo kama namba ya kumbukumbu. Fuatilia maelezo kama yalivyo hapo chini:

1. Piga *150*01# kupata huduma za Tigo Pesa.

2. Chagua namba 4 - Lipa Bili.

3. Chagua namba 3 - Ingiza namba ya kampuni

4. Ingiza namba ya kampuni - 888000

5. Weka namba ya kumbukumbu - Ingiza namba yako ya Tigo uliyotumia kusajili Tala

6. Ingiza kiasi unachotaka kulipa

7. Ingiza namba yako ya siri ya Tigo Pesa kuthibitisha muamala

Utapokea SMS kuthibitisha kwamba tumepokea marejesho wako.